***

***

Technology

LIONEL MESSI ATWAA TUZO ZA  – Ballon D’Or ya 5.





Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia (Ballon d’Or award ) kwa mwaka 2015 ikiwa ni mara ya tano anatwaa tuzo hiyo.
Messi, 28, amepata asilimia 41.33 ya kura zote zilizopigwa akifuatiwa na mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo mwenye asilimia 27.7 wakati Neymar wa Barcelona akiambulia asilimia 7.86 ya kura zote.
Messi na Ronaldo kwa pamoja wameshinda tuzo hiyo mara nane.
Kiungo wa United States Carli Lloyd ambaye alifunga bao tatu kwenye fainali ya kombe la dunia ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanawake.
Reviewed by Unknown on 12:15 Rating: 5

Hakuna maoni:

Gallery

Imetolewa na Alpha Seyongwe. Inaendeshwa na Blogger.