Chama cha Mapinduzi (CCM) Leo kimemtangaza Christopher Ole Sendeka kuwa Msemaji mpya wa CCM kuanzia leo.
Nafasi hiyo apo awali ilishikiliwa na Mh. Nape Nauye. Mh. Ole Sendeka Ametangazwa rasmi na Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu Kinana, jioni ya leo.

CCM YAPATA MSEMA CHOCHOTE.
Reviewed by Unknown
on
11:35
Rating:
Hakuna maoni: