***

***

Technology

UKAWA YAI NYOOSHA CCM UMEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Diwani Isaya Mwita (CHADEMA) kupitia Vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es salaam, baada ya  kuishinda CCM iliyopata kura 67, huku UKAWA wakipata kura 84, ambapo kura 7 zili haribika.

Uchaguzi huo ulifanyika leo Machi 22 kuanzia majira ya saa 4.00 asubuhi katika ukumbi wa Karimjee.

Uchaguzi huo uliahirishwa mara tatu kwa sababu mbalimbali, ikiwamo zuio batili la mahakama lililowekwa na makada wa CCM, katika Mahakama Hakimu Mkazi wa Kisutu.

UKAWA YAI NYOOSHA CCM UMEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM. UKAWA YAI NYOOSHA CCM UMEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM. Reviewed by Unknown on 06:23 Rating: 5

Hakuna maoni:

Gallery

Imetolewa na Alpha Seyongwe. Inaendeshwa na Blogger.